Pages

Pages - Menu

Saturday, February 16, 2013

''HII NDIO MTANASHATI MPYA''

Baada ya kuzinguliwa na wasanii kibao kama Suma mnazareti,Amazon na wengineo wengi wanaojitoa na kumdiss Boss wa Mtanashati Entertainment Ostaz Juma Na musoma ameamuamua kubaki na vichwa viwili tuu ambavyo ni Dogo janja na Pnc ili kuepusha manenomaneno.
Ostaz Juma na Musoma amesema ameamua kufanya ivyo baada ya yeye kufikiria na kupata ushauri kwa watu wake wakaribu nakusema ''kuwa kati ya wasanii wangu waliokuwepo mtanashati wasanii wanaopiga kazi ni pnc na dogo janja kwani wakiwa jukwaani utaona kabisa kazi wanayofanya ndio maana nimeamua kubaki nao hao''.........

No comments:

Post a Comment