Maiti sitini zimeopolewa mpaka kufikia saa kumi jioni ya leo baada ya ajali iliyotokea jana iliyo husisha meli ya skyget iliyokuwa na watu zaidi ya mia mbili themanini. Uchunguzi uliofanywa na mau2ndudj umegundua kuwa watu walioopolewa wakiwa wamekufa imefikia tisini na tisa ikijumlishwa na ile ya jana ambahyo ilikuwa thelathini na moja. | |
|
No comments:
Post a Comment