Pages

Pages - Menu

Sunday, July 22, 2012

MTOTO WA USHER RAYMOND AFARIKI DUNIA

Mtoto Kyle{11} ambaye ni mtoto wakufikia wa usher raymond amefariki dunia baada ya kutolewa kwa mashine za kumsaidia awe hai baada ya madaktari kugundua kuwa majeraha aliyonayo hayawezi kutibika.Kyle alipata ajali ya pikipiki za kwenye maji maarufu kama jetski huko Geogia Marekani.Kabla ya kolewa na usher raymond Foster alizaa mtoto huyo na Ryan Glover ambaye kwa kipindi hicho alikuwa mume wake.

No comments:

Post a Comment