Pages

Pages - Menu

Friday, August 24, 2012

" I JUST FUCKED KIM SO HARD"......KWA HILI KANYE WEST UMEKOSEA NA SIKUUNGI MKONO

 
 
Iwe aliandika kwa utani ama vyovyote, Kanye amefanya kitu ambacho kinatarajiwa kupigiwa kelele sana  na  kitu cha  aibu. Tweet hii ameifuta sekunde chache tu baada ya kuiandika lakini watu wameinasa.

Swali kwenye kila mdomo wa shabiki wake, kwanini atweet kitu kama hicho?
 
Hata kama anamchukulia Kim Kardashian kama ‘Perfect Bitch’ ndio aandike hivyo?

Hivi karibuni Kim alisema kuwa amepungua uzito kwasababu Kanye anampiga mikasi kisawasawa, kwa tweet hiyo tumeamini! It’s crazy!!!

No comments:

Post a Comment