Pages

Pages - Menu

Tuesday, August 7, 2012

New Track | Diva ft Ommy Dimpoz & Diamond - Piga simu Rmx

Baada ya Diva kuona mafanikio ameamua kuufanyia rmx wimbo wake wa Piga simu akiwa sasa kamuongeza Ommy Dimpoz. Sikiliza & Download wimbo huu ikiwa ndo hiyo remix iliyokataliwa. Isikilizea na wewe udrop comment zako lakini subiri remix nyingine coming soon. Tukipata remix kali itafuatiwa na bonge moja la video na Team hiyo (Team Diva) imeshauri pia kwenye video awe Diva, Ommy Dimpoz, Fid Q endapo atakubali kuwepo kwenye remix na Diamond.

No comments:

Post a Comment