Pages

Pages - Menu

Thursday, August 2, 2012

NGASSA ASAINI SIMBA RASMI MCHANA WA LEO

Hatimaye mchezaji wa azam fc Mrisho Khalfan Ngassa amesaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya simba.Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari Ngasa ambaye alikuwa akiwaniwa na Yanga amesain mkataba huo baada ya kukaa na viongozi wa simba kwa masaa kadhaa.Ngasa amesaini mkataba ambao atakuwa akipewa mshahara wa sh.millioni mbili kwa mwezi.Ukiachana na hiyo Ngasa amepewa millioni 30 na gari aina ya verrossa kutokana na usajili huo.

No comments:

Post a Comment