Warembo wa Redd’s Miss Mwanza 2012
wakiwa wakiwa katika picha ya pamoja kambini kwao katika Hoteli ya
Isamilo Lodge, ambako jumla ya walimbwende 18 kutoka Wilaya zote za
Mkoa wa Mwanza, watashiriki shindano hilo linalotarajiwa kufanyika
Agosti 31 ndani ya Yatch Club jijini Mwanza
REDD'S MISS MWANZA KUPATIKANA KESHO ISAMILO LODGE

No comments