Pages

Pages - Menu

Thursday, August 23, 2012

SHAROMILIONEA ANUNUA GARI ''HILI HAPA''

Gari aina ya OPA linalomilikiwa na msanii Sharomilionea linavyoonekana kwa mbele.
Msanii Sharomillionea
Gari aina ya OPA analomiliki sharomillionea linavyoonekana kwa nyuma
Ni kawaida sana kwa wasanii kuvuta mikoko ikiwa ni moja ya mafanikio yao! Msanii wavichekesho Sharomillionea aliyeingia kwenye tasnia ya muziki amevuta mkoko mpya gari aina ya OPA .Sharo milionea alikutwa na camera za mau2ndudj'z katikati ya jiji alipokuwa amepark ndinga hiyo. Katika gari hiyo alilovuta sharomilionea kwenye kioo chake cha nyuma ameandika maneno yaliyompa umaarufu ''OOOOH!! MAMAAAA!!!!.

No comments:

Post a Comment