Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''USTADHI JUMA NA MUSOMA AMTISHIA MAISHA MENEJA MANENO''

Ustadhi Juma na musoma akiwa na Dj choka
Mmoja kati ya Xmember wa kundi la Mtanashati Entertainment Suma mnazareti

     






















   Ikiwa ni siku moja tuu tangu kundi la mtanashati Entertainment linalomilikiwa na Ustadhi Juma na musoma kuingia dosari baada ya member wake wawili kujiondoa{Suma Mnazareti na Meneja Maneno} tayari sakata hilo limeingia sura mpya baada ya aliyekuwa meneja wa kundi hilo Maneno kusema kuwa ametishiwa maisha.
    Maneno amesema kuwa jana ustadhi juma na musoma alifika nyumbani kwa maneno na kumkuta mke wa maneno na kumtolea maneno ya vitisho huku akiwa na Dogo janja na mtu aliyekuwa kavaa nguo nyeusi zote kitu kilichomfanya mke wa maneno kutomtambua vizuri.
   Baada ya ustadhi juma na musoma kufika kwa maneno na kumkosa alimwambia mke wa maneno kuwa maneno anatafutwa na polisi na baadae kidogo ndipo ustadhi juma na musoma alipoanza kutuma massage za vitisho kwa maneno zikimwambia kuwa yeye ni mtu mdogo sana hapa mjini kwa hiyo atampoteza!!! Kwa sasa Maneno amesharipoti katika kituo cha polisi kuhusiana na tukio hilo
     
     Kwa upande wake Suma mnazareti ambae nae alikuwa member wa Mtanashati Entertainment amesema kuwa Ustadhi juma na musoma hajamtimua ila yeye mwenyewe ameondoka katika Crew hiyo na ameamua kuachana na kundi hilo coz ameona halina malengo ya kumfikisha mbali.
     Suma mnazareti amesema ''ustadhi juma na musoma amekuwa akitoa hela nyingi kwa maprezenter wa hapa mjini na ma Dj ili wapige miziki ya Watanashati" na kuongeza kuwa eti yeye hawezi kuwa kama PNC au Dogo janja coz Pnc alimuokota huko gongo lamboto akiwa hana sehemu ya kulala ndio maana akampangishia chumba na Dogo janja anakaa kwa Ustadhi juma hivyo basi hata wakionewa hawawezi kuongea coz yeye ameshika maisha yao.
     ''Mimi ni mtu ambaye nimeshatoka nyumbani kwetu {nimepanga} na ninaishi na mtu kwa hiyo ninalipa chumba na mambo mengine hivyo basi ni bora nifanye hustle zangu coz ninataka nifanye mziki utaonitangaza mpaka nje ya nchi........!!

NB: Kwa mujibu wa Suma mnazareti ni kwamba ukiwa mtanashati ni lazima katika nyimbo yako umtaje {umrushe} ili aone kama nyimbo yako ndio nzuri vinginevyo hakuelewi na ndio mana kama ni msikilizaji mzuri wa mziki nyimbo zinazoimbwa na wanamuziki kutoka Mtanashati Ent. ni kweli kwamba lazima utalisikia jina la Ustadhi juma na musoma.!

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply