Mtangazaji
wa MTV Base na Choice FM 102.6 ya Tanzania, Vanessa Mdee, jana
aligeuka mbogo baada ya kile kinachoonekana kama kukerwa na jarida la
burudani la Baabkubwa.
Vanessa analishutumu jarida hilo kwa kuandika habari za uongo, kuchafua majina ya watu, Kiingereza kibovu miongoni mwa mambo mengine.
Alitweet:
Can’t stand BabKubwa – lies,defamation,horrible grammar, tacky production and print, chipped nail polish and busted weaves …
— Vanessa Mdee (@VanessaMdee) August 28, 2012
Vannesa ambaye pia ni mwanaharakati wa masuala ya HIV/AIDS, alimalizia kwa kuweka nukuu isemayo,
A country is only as informed as its media. Surely this can’t be life.#ImDone
— Vanessa Mdee (@VanessaMdee) August 28, 2012
No comments