
Sherehe
ya kufunga mashindano ya Olympics2012 itakuwa kali sana mwaka huu. To
keep it spiced, The Spice Girls, wakinadada/wamama wakubwa kabisa katika
Pop Music duniani watakuwepo kupiga bonge la show, hii ikiwa ni huko
London mashindano hayo yanapofanyika.
Victoria
Beckham 'Posh' na wenzie yaani Spory, Baby, Scary na Ginger wamekuwa
spotted wakifanya maandalizi ya kujiandaa jijini London, ambayo Posh
alijiunga baadae na wenzie. Wasanii hawa watakwea ju
No comments:
Post a Comment