Pages

Pages - Menu

Thursday, September 20, 2012

''EXCLUSIVE'' ROBBY ONE NA BIG JAHMAN WAPELEKWA SEGEREA KWA MALI YA UWIZI

Mmiliki wa maduka ya RobbyOne fashion maarufu kama Robby one na Big jahman ambaye pia ni mmiliki wa maduka
ya Jahman fashion leo tarehe 20/9/2012 wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu kwa tuhuma ya kukutwa na mali ya uwizi.

     Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari imeelezwa kuwa Robby one na Big jahman wamekutwa na mzigo wa suti na viatu katika maduka yao ambao unasemekana kuwa ni wa uwizi.
      Mzigo huo unaosemekana una dhamani ya shilingi millioni mia mbili hivyo kupelekea dhamana ya kesi hiyo kuwa hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa.
       Chanzo chetu cha habari kilichokuwepo eneo latujio kinasema kuwa watuhumiwa hao walishindwa kuwasilisha hati hizo za nyumba kwa kila mmoja hivyo kupanda kwenye karandinga na kupelekwa moja kwa moja segerea............................... Kwa habari zaid kuhusu habari hii endelea kupitia.......     www.mau2ndudj.blogspot.com

No comments:

Post a Comment