Rapa maarufu kutoka pande za obama anayewakilisha YMCMB, Dwayne Michael Carter,jr a.k.a Lil wayne leo tarehe 27 ya mwezi wa tisa ametimiza miaka 30 tangu kuzaliwa kwake katika
mji New Orleans mwaka 1982.
Lil wayne ambaye ni baba wa watoto wanne ambao wote amezaa na mama tofauti.Watoto hao ni Reginae aliyezaliwa wakati wayne akiwa na miaka 15 wakati mama yake ni Antonia ''Toya'' mtoto wa pili anitwa Dwayne 111 aliyezaliwa october 22 2008 mama yake akiitwa Sarah,mtoto wa tatu ni Cameron Carter aliyezaliwa na Lauren London september 9 2009 na mtoto mwingine anayekamilisha idadi ni Neal Carter aliyezaliwa na mwanamuziki Nivea november 30 2009.
''HAPPY BIRTHDAY LIL WAYNE''
Happy biday Lily Wayne ingawa mwezi umepita.
ReplyDelete