Msanii anayeshika kunako gemu la bongo flavour kutoka mbeya ze green city Izzo b amefunguka kuwa kesho ataachia video mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la utarudishwa mbeya.
Msanii huyo anayewakilisha vilivyo mkoa wa
mbeya amefunguka kuwa video hiyo itakuwa ya kitofauti mno kwani amefanya na director kutoka E media anayekwenda kwajina la nick dizzo.
Kichupa hicho kitaonekana kesho katika TV station za hapa nchini pamoja na katika mitandao mbalimbali ya social media kama blogspot na n.k
No comments:
Post a Comment