Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» » "NDOA BILA KAZI IMENISHINDA"- AMANDA.

MWIGIZAJI wa filamu mwenye jina kubwa , Amanda Poshi amefunguka kuhusu kutalikiana na aliyekuwa mumewe Hamis Bwela ambaye aliachana naye siku za karibuni kutokana na sababu ya mumewe kumzuia asifanye kazi yoyote zaidi ya kukaa ndani tu na kama akitoka wawe sote.


Amanda Poshi
Amanda Poshi

“Ndoa imenishinda aliyekuwa mume wangu alikuwa hataki kabisa nifanye kazi yoyote zaidi ya kukaa ndani tu, maisha ya sasa si maisha ya kusubiri uletewe kila kitu lazima mwanamke uhangaike na si kuwa tegemezi sasa mtu ukae ndani tu kama mwali au mwanamke wa mwarabu maisha ya sasa,”anasema Amanda.

Amanda amedai kuwa mumewe alipomuoa alijua kuwa yeye ni mwanamke mjasiriamali ambaye pamoja na kufanya shughuli zake ndogo ndogo lakini kazi yake kubwa ni uigizaji ambayo anaamini kuwa inawezekana hata mumewe huyo alimwona kupitia filamu na tamthilia na kumpenda awe mkewe iweje amzuie asifanye kazi yoyote?

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply