Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » "NIKITAKA KUOA NITAFANYA MCHUJO KAMA WA BONGO STAR SEARCH"...HII NI KAULI YA HEMEDI ILIYOLAANIWA VIKALI NA JACK WA CHUZ



Baada ya msanii wa filamu bongo Hemed Suleiman ‘P.H.D’, kutangaza endapo akiamua kuoa basi atafanya mchakato kama wa BSS au mashindano mengine ili kufanya mchunjo wa mwanamke mzuri atakayekuwa mke wake,
Jackline PantezelJack wa Chuz, amedai kuwa kitendo alichokisema msanii huyo kinahitaji awaombe msamaha wanawake kwani anawafananisha na samaki wanaovuliwa kirahisi.
 
Kauli ya Jack inaonesha wazi kuwa anawatetea wanawake na hataki waonekane kama hawana maana yoyote ndani ya jamii au watu wanaokaa na kusubiri kuolewa tu wakati maisha ya sasa hayapo hivyo, na mwanamke yeyote atakaejitokeza kwenye mchakato huo atakuwa hana akili na atakuwa ni kahaba.


“Nilisikia tu kwamba anataka kufanya kitu kama BSS katika kutafuta mwanamke wa kuoa, na hapo ina maana kuwa tayari amesha wafanya wanawake kama samaki.

Nailaan  sana  kauli hii  na ni bora  Hemed  atuombe  Msamaha” alidai Pentzel

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply