mau2ndudj'z

Pages

▼

Pages - Menu

▼

Tuesday, September 11, 2012

''PICHA KUMI ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA MSANII SATTY inayoitwa KIBELA

Msanii anayekuja kwa kasi katika gemu hii ya muziki wa kizazi kipya maarufu kama bongo flavour SATTY juzi kati nilimkuta akishoot video ya wimbo wake mpya unaobamba katika vituo mbalimbali vya Redio unakwenda kwa jina la Kibela. Ngoma hiyo ambayo imetengenezwa katika studio za HM Records zilizopo tabata,na video hiyo imesimamiwa Director anayeitwa NTULY Na hizi ni picha kumi za utengenezaji wa video hiyo..

.


MAU2NDU DJ'S at 3:01 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.