Pages

Pages - Menu

Monday, October 8, 2012

''BRUNO MARS ATIMIZA MIAKA 27 YA KUZALIWA LEO''

Peter Gene Hernandez ndilo jina alilopewa na wazazi wake miaka 27 iliyopita katika mji wa wahikiki.Hapa namzungumzia Bruno Mars kama anavyofahamika kwa wengi ni msanii wa
muziki ambaye leo anatimiza miaka 27 ya kuzaliwa kwake.Bruno Mars alizaliwa tarehe 8 ya mwezi wa kumi mwaka 1985.Msanii huyo anaemiliki album mbili ambazo ni Doo-Wops na Hooligans ni maarufu sana kwa nyimbo za kubembeleza kwani ana sauti ya kipekee....
                                                ''HAPPY BIRTHDAY BRUNO MARS''

No comments:

Post a Comment