Mwanadada mwenye jina kubwa duniani ambaye alijiongezea umaarufu baada ya video yake ya ngono aliocheza na mwanamuziki Ray j kuliki.Hapa namzungumzia Kimberly Noel ndilo jina alilopewa na wazazi wake lakini anajulikana sana kama Kim Kardashian.
Leo tarehe 21/10/2012 anatimiza umri wa miaka 32 tangu alipozaliwa mwaka 1980 huko
katika mji wa Los Angeles.Kim ambaye ni socialite,reality tv shows,model and actress kwa sasa ana mahusiano na rappa Kanye West.
Kim mwenye urefu wa mita 1.57 na uzito wa kilo 53 alisoma katika shule ya Marymount High School,pia amewahi kutamba na movie kama ''Kourtney and Kim Take New York''.
''HAPPY BIRTHDAY KIM KARDASHIAN''
No comments:
Post a Comment