Pages

Pages - Menu

Sunday, October 28, 2012

''HUYU NDIYE RAFIKI WA JCB ALIYEUWAWA KWA KUCHOMWA KISU''


Tarehe 26 mwezi huu ndipo alipoondoka duniani na kutangulia mbele ya haki.Alijulikana kama Lexa Julius{mwenye tshirt nyeusi wa kwanza kulia} ambae alikuwa mshikaji wa karibu wa msanii anaewakilisha kundi la watengwa kutoka kijenge A town JCB.Marehemu amefariki kwa kuchomwa kisu na tayari watuhumiwa wameshatiwa nguvuni..............                                    ''RIP LEXA JULIUS''

No comments:

Post a Comment