Pages

Pages - Menu

Tuesday, November 6, 2012

''BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MSANII ANGERIES AJA NA MAPEMA''

Baada ya muda mrefu kukaa kimya dada mwenye muonekano mzuri bongo na msanii wa muziki wa bongo fleva Angeries amemua kurudi kwenye gemu baada ya kurudi na kitu kipya na producer bob junior.Nyimbo aliyoitoa hivi karibuni na mkali wa nichumu unaoitwa MAPEMA.

No comments:

Post a Comment