Pages

Pages - Menu

Monday, November 26, 2012

''BREAKING NEWZ'' SHARO MILLIONEA AFARIKI KATIKA AJALI HUKO MUHEZA TANGA''

So far the news is that SHARO MILLIONEA(Comedian/Actor/Msanii wa Bongo Flava) kafariki dunia kwa ajali ya gari, huko Muheza/TangaAkielezea tukio hilo kamanda wa polisi wa mkoa wa Tanga Bw Costantine Massawe amesema kwamba marehemu amepata ajali saa mbili usiku kwenye barabara ya segera muheza akiwa na gari yenye namba za usajili T478 BVR akiwa peke yake,Ameongeza kuwa marehemu alipofika eneo la Maguzonizonga wilayani muheza gari lilipinduka na kuacha njia na kusababisha kifo chake,mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali teule ya wilaya ya muheza.............REST IN PEACE KAKA..I will remember and cherish every moment we shared pamoja..!!! Utakumbukwa ila Hutosaulika..!! Ikumbukwe kwamba hii ni ajali ya pili kwa sharo millionea kwa mwaka huu kwani miezi kadhaa iliyopita alipata ajali na basi la kampuni ya Taqwa akitoka rwanda na burundi kupiga show, lakini ya mungu mengi bwana alitoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe! ''GADAMN'' WHY SHARO UMEONDOKA MAPEMA HIVI KAKA?

No comments:

Post a Comment