Country Boy akiwa na Mama yake mzazi.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Country boy leo tarehe 15 ya mwezi wa kumi na moja ametimiza umri wa miaka 22 ya kuzaliwa.Country boy anayewakilisha Crew ya mtuchee inayoundwa na wasanii watatu ambae ni yeye mwenyewe Country boy,Stamina na
Young D.
Country boy ambaye amewahi kutamba na kibao cha ''money power respect'' ni mdogo wa Msanii/Mtangazaji wa clouds Tv anayejulikana kwa jina la CEDOU au maarufu kwa jina la Babuu wa kitaa. |
No comments:
Post a Comment