Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''HIZI NDIO SABABU ZILIZOWAFANYA DULLY,DIAMOND NA OMMY DIMPOZ KUTOHUDHURIA MSIBA WA SHARO MILLIONEA''

Ikiwa zimepita siku chache tangu tasnia ya burudani tanzania kuingia katika majonzi baada ya kumpoteza mchekeshaji na mwanamuziki Hussein Ramadhani Mkieti maarufu kama Sharo millionea tetesi zilizopo ni kwamba wasanii wa bongo flavour hawakuonesha sapoti ya kutosha katika msiba wa marehemu Shaomillionea.
Inasemekana kuwa wasanii wengi wa muziki huu{bongo flavour} hawakujitokeza katika msiba wa marehemu kitu ambacho kimeleta maswali mengi kwa wananchi wakati enzi za uhai wake marehemu alikuwa mstari wa mbele kutoa misaada kwa wasanii wenzake kwa mara nyingi amekuwa akionekana maranyingi katika video zao hivyo
kufanya video hizo kupendwa kutokana na ubunifu aliokuwa akiuonesha.

Baadhi ya wasanii ambao tuhuma za kutohudhuria msiba ni Dully,DIamond,Ommy dimpoz na wengineo wengi.Lakini kwa hawa niliowataja wametaja sababu zilizopelekea kutohudhuria msiba huo.

Katika show ya Friday Night Live FNL inayorushwa na EATV kila siku ya ijumaa wakijibu swali waliloulizwa kwanini hawakuhudhuria msiba kila mmoja alikuwa na haya ya kusema:

DULLY:''mimi kwanza ulipotokea ule msiba na mimi nilikuwa nimefiwa na pia mimi nina presha mbaya sana so! nikaogopa sana kwenda huko''.

DIAMOND:''yaaa! wakati msiba wa sharo millionea unatokea mimi nilikuwa safarini nikielekea kenya lakini nilimtuma blogger wangu na kumlipia nauli na gharama zote akiwa kule''.


OMMY DIMPOZ:''siku ile ambayo sharo alikuwa anazikwa nilikuwa na appointment ya kufanya interview na ubalozi sasa si unajua ubalozi tena kuhairisha appointment ni siku mbili kabla so! ndio maana nikashindwa kuhudhuria''.
Kiukweli tabia iliyooneshwa na wasanii wa bongo flavour si nzuri kwasababu ukilinganisha na wasanii wa bongo movie coz bongo movie walivyoonesha ushirikiano katika msiba wa sharomillionea ni kitu kizuri,bongo movie walikuwa kwenye msiba wa John s Maganga lakini siku ileile walifunga safari hadi tanga kumzika mwenzao marehemu sharomillionea.
                                    ''KWELI UKIFA DHAMANI YAKO INASHUKA''

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

1 comments

  1. wasanii wa tasinia ta mziki hawana ushirikiano kama wa bongo movies.ila sio fresh wajue nao cku yao yaja.wasishangae wakazikwa na familia zao 2

    ReplyDelete