Pages

Pages - Menu

Sunday, November 11, 2012

''PREZOO NA GOLDIE WAONEKANA PAMOJA KWA MARA NYINGINE''


Wale x-mates wa BBA ambao siku za karibuni walimake head line katika vyombo tofautitofauti vya habari kutokana na mahusiano yao kama kutokuwa wazi vile lakini hivi karibuni mwezi huu wawili hao walionekana pamoja.
  Hapa tunawazungumzia Jackson Makini maarufu kwa jina la ''PREZO'' na msanii kutoka nigeria Susan maarufu kwa jina la ''GOLDIE''.
  Wawili hao walionekana katika event moja ya chanel O huko Lagos nigeria ilipewa jina ''Hollywood style house party''.
 

No comments:

Post a Comment