Wale mapacha wanaowakilisha vyema nchi ya Nigeria katika anga ya muziki
Duniani PEter na Paul maarufu kama psquare mwanzoni mwa wiki hii
waliperfom katika tamasha moja huko nchini hilo Ghana.Tamasha hilo
liliopewa jina la ''indepence square'' lililowakusanya watu 40,000
katika uwanja uliopo Acra nchini ghana Zifuatazo ni baadhi ya picha
zinazoonesha wakiperfom stejini.... |
No comments:
Post a Comment