Pages

Pages - Menu

Sunday, December 2, 2012

''HAPPY BIRTHDAY CLOUDS FM KWAKUTIMIZA MIAKA 13''

Ile redio inayobang' poa katika masikio ya wasikilizaji wengi hapa nchini hasa vijana  naizungumzia ''ZE SUPER BRAND REDIO'' Clouds Fm the people station leo wanasherehekea miaka 13 tangu ianzishwe katika ukumbi wa club billcanas.
Lakini siku ya leo ni siku ya bahati kwani ile club iliyopo katikati ya jiji naizungumzia ''Club billicanas'' nayo pia inaadhimisha miaka 20 toka ianzishwe ikumbukwe kuwa club billicanas iliyopo maeneo ya posta ilianzishwa mwaka 1992.
Clouds Fm na Club billicanas wameandaa bongela part leo ndani ya club billicanas maalum kwa fans wote wanaotoa sapoti ya kutosha kwao
Katika kusindikiza sherehe hii ya leo kutakuwa na wasanii kibao watakao tumbuiza ambao ni
Ommy Dimpoz,Linah,Chegge,Recho,Amin,Richie Mavoko,Barnaba,Bob juniour,Makomandoo,Chidy benz na wengineo wengi kwa kiingilio cha sh.10,000kwa show ya ndani tuu! na sh.15,000 kwa show zote nje na ndani.

No comments:

Post a Comment