Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''HAPPY BIRTHDAY TANZANIA HOUSE OF TALENT {THT} KWA KUTIMIZA MIAKA 7.

Leo tarehe 9 december mwaka 2012 ile nyumba ya vipaji tanzania naizungumzia Tanzania House Talent {THT} imetimiza miaka saba ya tangu ianzishwe mnamo mwaka 2005.THT imejijengea jina katika anga ya muziki bongo baada ya kuibua vipaji vingi vya uimbaji kama Barnaba,Linah,Mataluma,Amini na wengineo wengi.Lakini ukiachilia mbali kuibua vipaji THT pia inamadarasa tofauti tofauti kama watu wanaojifunza kudance na vitu vingi vinavyohusiana na vipaji.

Lakini leo katika kusherehekea miaka saba ya kuzaliwa kwa THT ule
uwanja wa taifa wa burudani nazungumzia ''Dar live'' umeandaa bonge la show ikiwa ni kusindikiza birthday hiyo ya THT,katika show hiyo itakayolindima leo kwa kiingilio cha shilingi elfu mbili kwa watoto na elfu saba kwa mtu mzima.Burudani hii itaongozwa na vijana kutoka THT ambao ni Amini,Linah,Mwasiti,Ditto,Barnaba,Mataluma na Recho.Lakini burudani haitaishia hapo pia watakuwepo wasanii kibao wakiwemo Shetta,Diamond,Ommy Dimpoz na Twanga pepeta.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply