Pages

Pages - Menu

Wednesday, December 5, 2012

''HIVI NDIVYO MSHINDI WA MAISHA PLUS ALIVYOKABIDHIWA MPUNGA WAKE''

Meneje wa Benki ya NMB makao makuu Benedicta Byabato akimkabidhi mshindi wa shindano la maisha plus session 3 Bernick Kimiro zawadi yake ya sh. million ishirini.
Mshindi wa maisha plus Bernick Kimiro{katikati} akiwa na rafiki yake wa karibu Rachel Ndauka kulia na mtoto Amarisa Sevuri baada ya kukabidhiwa kitita hicho.
Bernick Kimiro akifungua akaunti ya NMB kabla ya kupokea kitita chake cha shilingi millioni ishirini, mwenye miwani ni kaka yake na Bernick anayeitwa Abdulaziz Abbas.

No comments:

Post a Comment