Pages

Pages - Menu

Sunday, January 27, 2013

[AUDIO] New: Linex - Mahakama Ya Mapenzi


    
  Linex ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la MAHAKAMA YA MAPENZI, wimbo ukiwa umetengenezwa Sweden kwa Fundi Samweli sauti imerekodiwa na Tuddy Thomas.
Uandaaji mzima wa wimbo umefanywa na producer  Fundi  Samweli.
Sikiliza wimbo huu jinsi ulivyopangiliwa muziki huo kwa ustadi wa hali ya juu.
MSANII                         :      LINEX
WIMBO                         :      MAHAKAMA YA MAPENZI
MTAYARISHAJI               :      FUNDI  SAMWELI (FROM SWEDEN)
MTAYARISHAJI WA SAUTI :      TUDDY THOMAS

No comments:

Post a Comment