MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Juma kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia asubuhi muda wa saa moja kasoro akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akisubiri kusubiri kusafiri kwenda nchni Indi kwa matibabu.
Rais wa bongo muvi Visent Kidosi au RAY amefunguka kutokupata taarira za msiba huo ila amesikia na anafanya mawasiliano kujua mengi
Na STEVE NYERERE kama muigizaji mwenzake amefunguka na kusema haya
Taarifa za mazishi bado familia inashughulikia na ikiwa tayari tutaujulisha umma....
Sajuki alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa mgongo na saratani ya ngozi....
Bwana ametoa bwana ametwaha jina la bwana lihimidiwe. Amina
No comments:
Post a Comment