Leo tarehe 10 ya mwezi wa kwanza mwaka 2013 mmoja kati ya member wa mau2ndudj'z Joseph Bernard Mwanjotile maarufu kwa jina la Jose M'bongo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake.
M'bongo ambaye anasomea maswala ya uandishi wa habari pale Dar es salaam School of Journalism {DSJ} akiwa mwaka wa pili ngazi ya diploma amekuwa na malengo mengi ya kimaisha ikiwa ni pamoja na kuleta mabadiliko makubwa katika eneo ambalo hukonga mioyo ya watu {utangazaji/uprezenter}............! HAPPY BIRTHDAY M'BONGO
No comments:
Post a Comment