Pages

Pages - Menu

Saturday, January 26, 2013

''HUYU NDIYE MTU TAJIRI KULIKO WOTE AFRIKA''

Anajulikana kwa jina la Aliko Dangote raia wa Nigeria mwenye miaka 56,inasemekana ndiyo binadamu tajiri kuliko wote afrika.Dangote ambaye ni C.E.O wa kampuni inayoitwa Dangote Group kampuni inayojihusisha na mambo mengi ya kibiashara.Dangote ambaye ni baba wa watoto watatu, inasemekana kuwa ana utajiri wa dola za kimarekani billioni kumi na mbili{$12 Billion}.
Chanzo cha utajiri wake ni mkopo alipewa na mjomba wake baada ya kumaliza chuo ingawa kwa sasa anamiliki viwanda zaidi ya 14 vya cement katika nchi kumi na nne tofauti barani afrika.Ukiachana na viwanda vya cement anavyomiliki pia anamiliki viwanda vya sukari,unga na viwanda vya kutengeneza vitu vyake binafsi.
Aliko Dangote ana elimu ya Bachelar of Art/Science aliyoipata katika chuo cha Al-Azhar University

No comments:

Post a Comment