
Hit-Maker wa track ya Yalaiti maarufu kama Hamis Mwinjuma aka Mwana Fa sasa yuko mbioni kuachia kitu kipya kitakacho kwenda kwa jina la The Finest. Fa ame post picha hiyo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, hivyo mashabiki wake kaeni tayari kwa kitu hicho kipya kutoka kwa rapper huyo.
No comments