MATONYA - TUNDA MAN HAWAHIVI CHUNGU KIMOJA.
Wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya Bongo Flever Matonya na Tunda Man wameingia katika mgogoro mkubwa mara baada ya Tunda Man kuweka Jina la Halisi la Matonya kwenye mashairi wa wimbo wake mpya unajulikana kama Bintio ambapo katika moja ya mashairi amemtaja Seif Shaaban.

No comments