Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » NILITAKA NIMFANYIE TAMBIKO - BABA MZAZI WA SAJUKI

Mzazi wa aliyekuwa mwigizaji  na mtayarishaji wa filamu nchini  marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ mzee Issa Juma amesema kuwa amepokea kifo cha mwanaye kwa masikitiko makubwa kwani kabla aliongea na mwanaye kuwa iwapo hali bado inaendelea hivyo arudi Songea mara moja wafanye Tambiko.“Mwanangu ameumwa sana na niliona wazi suala hilo kwa Hospitali kama limeshindikana niliongea na Juma nikwamwambia kuwa arejea Songea ili tujaribu kumfanyia matambiko, lakini akaniambia kuwa ngoja akirudi Arusha katika tamasha lake, lakini kwa bahati mbaya akazidiwa na kurudishwa Dar na kulazwa hadi umauti unamkuta,”anasema Mzee Issa.Mzee Issa alifafanua ni Tambiko gani ambalo lilitakiwa kufanywa kule Songea ilikuwa ni kusomwa kwa Dua baada ya baba wa msanii huyo kuwaita Masheikh na kusoma Dua, Sajuki alifariki siku ya Jumatano asubuhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa maradhi ya saratani ya Ngozi na matatizo ya mgongo.Marehemu ameacha mke na mtoto mmoja wa kike 
                                              INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUN.

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply