Pages

Pages - Menu

Friday, January 25, 2013

ZITTO KABWE NA 'KIBEGA'


Uchezaji wa aina ya 'Kibega' ndio mtindo unaonekana kushika kasi huku ukitawala uchezaji wa watu wengi hali iliyosababisha Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe hivi karibuni alionekana akijimwayamwaya miondoko hiyo na Kundi la Makomando kutoka Nyumba ya Vipaji (THT)

Picha inamuonyesha Zitto Kabwe akiwa anacheza sambamba na wasanii wa kundi la Makomando

No comments:

Post a Comment