
''AMBEROSE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME''
Ile couple inayomake headline katika vyombo vingi vya habari duniani nawazungumzia Wiz Khalifa na mpenzi wake Amberose wamefanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza ambaye ni wa kiume na kumpa jina la Sebastian Taylor Thomaz au unaweza kumuita ''The Bash''


No comments