Ile couple iliyomake head line kunako mjengo wa BBA 2012 kule south africa Goldie na Prezoo sasa imeingia dosari baada ya Msanii wa muziki kutoka Nigeria Susan Harvey maarufu kwa jina la Goldie kufariki dunia hapo jana usiku.
Tukio hilo la kifo cha Goldie limekuja muda mchache baada ya Goldie kutua akitokea marekani alikokuwa amekwenda kwa ajili ya tuzo za ''Grammy''.
Goldie amefarirki katika hospitali ya Reddngton huko nigeria akiwa amewashtua watu wengi kwani kifo chake kimekuwa cha ghafla mno.
Ikumbikwe kuwa Goldie alikuwa na mahusiano na Msanii mwenzake kutoka Kenya ajulikanae kama Prezoo na hivi karibuni zilisikika tetesi kuwa ndoa yako ipo mbioni
No comments:
Post a Comment