Pages

Pages - Menu

Saturday, February 9, 2013

''DIAMOND AENDELEA KUWAMALIZA'' ITS OFFICIAL! SASA ANAKAA KWA HUYU.

Haya ndio maneno aliyoyaandika Diamond Platnumz kuhusu penny hii ndiyo picha aliyopost..

#MaBabyMama #De'MumOfMyBlood #MamaYounDiamond #YounPlatnumz #YoungPrezident.........



''Haya kaka ulianza na Demu wako wakati unatoa nyimbo ya Mbagara ukampiga chini,ukajiweka kwa Jack wolper ukaona hakufai sijui ukajiweka kwa Wema sepetu ukazingua ukamchukua kidoti{Jokate} sasa upo upo kwa Penny? sema umewengana na vizuri kaka!!! CHUNGA SANA KAKA GONJWA LIPO!!!!! 

 

No comments:

Post a Comment