Pages

Pages - Menu

Monday, February 25, 2013

''JE NI KWELI WASANII WETU WAKIENDA ULAYA HUPIGA SHOW KWENYE VIPAIMARA NA BIRTHDAY?

Ni kawaida kwa wasanii wetu wa bongo kuona wamepata mialiko ya kwenda kufanya show ulaya mfano kwa sasa wasanii kama Ali kiba na Ommy dimpoz wapo huku ughaibuni kujipatia pesa.
Lakini kuna habari zilizotufikia mau2ndudj kuwa eti wasanii hawa wakienda kule hawajazi watu kabisa na wakati mwingine hufanya show kwenye part za watu wachache mno ukilinganisha na show zao wanazofanya hapa nyumbani kama billcanas.maisha club au hata Dar live.
Kumbe tumeshagundua wao wanachokifata ni hela nyingi wanazopewa lakini ukizungumzia shazi ya watu bado nyumbani patabaki kuitwa nyumbani.

No comments:

Post a Comment