Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

Technology

Circle Gallery

Shooting

Racing

News

Lorem 4

» »Unlabelled » ''HUYU NDIYE RAPPA BORA MAREKANI 2012/2013 KUPITIA MTV

Anaitwa Kendrick Lamar Kijana mwenye umri wa miaka 25, Yuko Chini Ya AfterMath Records Ya Dr Dre. Kupitia MTV Amechaguliwa kama MC Bora wa mwaka 2012/2013 kwenye Game kwa sasa. Kwenye Mahojiano Na Kituo Kimoja Marekani Lamar amesema Kuwa MC Bora kwenye orodha hio ni kitu kikubwa sana, Alishawahi kufikiria kuwepo kwenye Orodha hio lakini sio kuwa namba Moja. Kendrick aliendelea kusema wasanii watalalamika kuwa bado hajawa na kiwango hicho na nimapema sana Ila yeye anadhani kuwa namba Moja kwenye list hio amewakilisha rappers wote wanaochipukia wenye uwezo ambao bado haujaonekana.

Hii Ndio Orodha Yenyewe.
1] Kendrick Lamar 
2] 2 Chainz
3] Rick Ross
4] Nas
5] Drake
6] Big Sean
7] Kanye West
8]  Asap Rocky 
9] Future
10] Meek Mill

About MAU2NDU DJ'S

WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

Leave a Reply