Pages

Pages - Menu

Friday, March 29, 2013

''KAMA NI MWANADADA NA UNA NDOTO ZA KUWA VIDEO QUEEN BASI HII INAKUHUSU KUTOKA KWA DIRECTOR NISHER''

Toka VIDEO YA MABESTE "DOLE" Itoke, Kuna Akina Dada Wengi Wana-omba Nafasi Zakushiriki Kwenye MUSIC VIDEOS Zinazofuata From NISHER ENTERTAINMENT! So Chakufanya, Kama Unajiamini, Unaujasiri na Mwonekano Mzuri Na Upotayari Kuelekezwa... Tuma Picha zako Kwenye Inbox kwenye Facebook account {JINA NISHER BYBEE} Then Kina-dada Wa-5 Watakao Kua Wakali Watapata Nafasi Kushiriki kwenye Video Zinazo Fuata Kutoka NISHER ENTERTAINMENT, Utapewa Maelekezo Husika....KUMBUKA SIO BURE, MALIPO YAPO......Ahsanteni Kwa Kupenda Kazi Za N.E.

No comments:

Post a Comment