Pages

Pages - Menu

Saturday, March 16, 2013

''KWA WAKAZI WA DAR HII SIO YA KUKOSA'' HAPO COCO BEACH''

Kampuni ya vinywaji baridi coca cola imeandaa tamasha kubwa la wazi katika fukwe za coco beach tarehe 17 ya mwezi wa tatu{jumapili hii}.Lengo la tamasha hilo ni kutambulisha kinywaji kipya kinachoitwa coca cola zero kinywaji kisicho na sukari hata kidogo.
Katika kuonesha tamasha hilo ni la aina yake coca cola wameamua kutumia ndege aina ya helkopta kuburudisha watu kwa kuwashusha wasanii watakaotumbuiza kwenye helkopta hiyo.wasanii watakao kuwepo ni Linah,Madee,Ommy Dimpoz,Joh Makini,Swat team,Wanaume TMK na DJ Ziro

No comments:

Post a Comment