Pages

Pages - Menu

Saturday, March 16, 2013

''P SQUARE WAKIWA NA RAIS WA MALAWI JOYCE BANDA''

Hit maker wa nyimbo ya alingo hapa nawazungumzia Psquare wapo nchini malawi kwa ajili ya kupiga show katika nchi hiyo.Mapema jana asubuhi wasanii hao Peter na Paul walikutana na Rais wa nchi hiyo Bi Joyce Banda.
P square wanatarajiwa kutoa burudani kali leo tarehe 16 march huko malawi...............!!!!!

No comments:

Post a Comment