Pages

Pages - Menu

Sunday, March 31, 2013

''PROFILE'' HUYU NDIYE ALIEIANZISHA ILE TV INAYOPENDWA NA VIJANA WENGI DUNIANI {BET}

 Yawezekana sura yake sio ngeni machoni pako ila humjui ni nani na anafanya nini.Anaitwa Robert L Johnson mzaliwa wa Hickory miaka 66 iliyopita huko Missisipi ndiye mtu alieianzisha Black Entertainment Television maarufu kama BET.Television hii ni maarufu sana kwa
vipindi vya entertainment hivyo kuteka kundi kubwa la vijana duniani.Robert ana elimu alioipata katika vyuo viwili tofaiti ambavyo ni Princeton University alikosoma mwaka 1972 na University of Illinois and Urbana campaign mwaka 1968,pia ni mtunzi wa kitabu cha ''The race trap''


No comments:

Post a Comment