Pages

Pages - Menu

Sunday, April 7, 2013

HII NI HATARI ANGALIA ''PICHA'' AGNESS MASOGANGE ALIVYOMJIBU MANGE KIMAMBI

Ni siku chache tuu mwanadada Mange Kimambi kupiga picha akiwa anagalagala na minoti kitandani na kusema kuwa yeye anapesa sana.Lakini katika kuonesha kuwa anamjibu Kimambi kwamba ana pesa mbuzi leo katika mtandao wa instagram mwanadada anayemake headline kunako mitandao kwa kupiga picha zisizo na maadili amepost picha inayomuonesha akiwa na vibunda tofauti tofauti vya pesa.
Kwa kukadiria inaonesha pesa hizo ni nyingi kwani ni mchanganyiko kwasababu ukiangalia vizuri unaweza kuona fedha kama tanzania shilings,euro,dollar na nyingine nyingi.
Sasa chakujiuliza ni hiki hawa dada zetu wanafanya shughuli gani kiasi cha kupata pesa zote hizi? NB: dada zetu jiangalieni na tamaa zenu kupokea pokea tuu kutoka kwa wanaume mtaishia pabaya jifunzeni kutoka kwa mwenzenu Kajala.
Hii ndio picha aliweka Mange Kimambi wiki iliyopita katika mtandao .

No comments:

Post a Comment