![]() |
| Cyrill Kamikaze akiwa na Kricha katikati na Abba Bang katika mazishi ya mama mzazi wa Kamikaze |
![]() |
| Mchungaji akiendesha ibada fupi ya kumuombea marehemu kabla ya mazishi |
![]() |
| Cyrill Kamikaze akiwa na wadogo zake Peter&Paul katika safari ya mwisho ya mama yao katika makaburi ya kinondoni |
![]() |
| Kutoka kushoto Cyrill Kamikaze aliyefiwa na mama yake akiwa jamaa zake wa karibu Kricha kutoka kamikaze mission na kulia ni Gyan Bobic kutoka kundi la The switch |
![]() |
| Mwili wa marehemu ukiwa tayari umeshushwa ndani ya kaburi |
![]() |
| Vijana wakishusha mwili wa marehemu ndani ya kaburi |









No comments