Unaweza ukaona kama ni vichekesho,Ila ndio hali halisi kwa Amber rose, Rapper Wiz Khalifa na Mtoto wao Sebastian.......Tokea kiumbe huyo azaliwe alivotoka ambaer hospitali ajawahi kupanda tena kwenye gari letu..... Kila ukimpandisha ni kulia kulia na yeye so atuwezi kufanya kitu ambacho mtoto wetu kitamuhumza'' Kauli aliyosema Amber Rose akifaniwa Interview na kituo cha Habari cha Uingereza juu ya swali la kutokuonekana kuzunguka na mtoto wao mara kwa mara........Pia Amber aliendelea kusema ''Kwanza bado mdogo anaendelea kukua vizuri na sidhani kama ni muda muafaka wa yeye kuonekana onekana pasipokuwa na sababu ya msingi akifikisha umri flani nadhani Hali hiyo inaweza potea.....!!
Amber mwenye umriwa Miaka 29 Na Wiz Khalifa Mwenye Umri wa Miaka 25 walivishana pete ya Uchumba March mwaka huu kipindi Amber Rose akiwa Mjamzto...!! |
No comments:
Post a Comment