Gavana wa Lagos nchini Nigeria Babatunde Fashola amefanya kitu cha kushangaza baada ya kumkiss mke mbele ya hadhara'.
Gavana huyo aligusanisha lips zake na mkewe aitwae Abimbola Fashola katika sherehe ya kufunga vikao vya ''commitie wives'' huko lagos Nigeria.
Kiss ni kitu cha kawaida sana kwa dunia ya sasa lakini imekuwa ni kitu kilichoshangaza wengi ni jinsi Gavana huyo kufanya kitu kama hicho mbele hadhara ukizingatia wana umri mkubwa.
''HAPANA CHEZEA KITU MAPENZI WEWE''
''GAVANA NIGERIA ADENDEKA HADHARANI''

No comments